Manamke
ambaye jinalake halikupatikana mara moja akiwa amekaa juu ya paa la
majengo ya Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es Salaam leo.
Mwanamke
huyo akizungumza na watu waliokusanyika ikiwa alikuwa hasikiki vizuri
maneno aliyokua akiongea kutokana na wananchi waliokusanyika kumuuliza
maswali mengi kwa wakati mmoja.
Polisi
akiwa pembeni ya uzio wa majengo ya wizara ya fedha na mipango mara
baada ya mwanamke huyo alipokuwa juu ya paa la nyumba hizo, ikiwa
haikujulikana mwanamke huyo hatukujua anadhamira gani ya kupanda juu ya
paa la majengo hayo. Baada ya muda wafanyakazi wa wizara hiyo kumwekea
ngazi na kumshusha ili kumhoji zaidi nini kimemfanya apande juu ya paa
la majengo hayo.
SHARE
No comments:
Post a Comment