Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Mh:Abbas Kandoro akizungumza na Waandishi wa Habari
hawapo Pichani nje ya Ukumbi wa Mkapa uliopo Sokomatola Jijini Mbeya
katika Semina ya Wadau wa Elimu wa Mkoa wa Mbeya na Mkowa wa Katavi
ambao wamekutana leo kuzungumzia juu ya Mbinu ambazo wanazitumia Mkoa wa
Katavi kufanikiwa kufaulisha Wanafunzi kwa Asilimia kubwa kulinganisha
na Mkowa wa Mbeya na Mikoa mingine.
Kutoka
Kushoto ni Afisa Elimu Mkoa wa Mbeya Ndugu,Charles Mwakalila na Afisa
Elimu Mkoa wa Katavi Ndugu,Helenest Hinju akizungumza na Wadau wa Elimu
Mkowa wa Mbeya na Katavi hawapo Pichani katika Semina ya Wadau wa Elimu
iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya.
Baadhi
ya Wadau wa Elimu Mkowa wa Mbeya na Katavi wakisikiliza kwa makini
Semina hiyo ya siku mbili juu ya Mbinu za Ongezeko la ufauru kwa Dalasa
la Saba Mkoa wa Mbeya.
SHARE
No comments:
Post a Comment