Rais
wa Kamouni ya Trevo Tanzania, Mark Steven akizunumza na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam leo kuhusiana na kuwapa zaadi washiriki wa
uuzaji wa kinywaji cha Trevo hapa nchini. amesema
kuwa Kampuni ya Trevo imewapa fulsa vijana wa kitanzania kuvuna fedha
kutokana na juhudi zao kwa kuwa Biashara ya Trevo imeshamiri nchini na
inaendelea kukita mizizi katika maeneo mbalimbali.
Amesema
bidhaa ya Trevo ni maarufu duniani kote kwani ina mchanganyiko wa
matunda aina 174 ambayo kwa pamoja yanasaidia katika kuboresha afya ya
mtumiaji.
Mkurugenzi
wa Trevo Tanzania, David Kagoro akionesha kinywaji cha Trevo alipokuwa
akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. amesema
Kampuni ya Trevo ambayo ina miezi 17 hivisasa nchini Tanzania imeweza
kutoa kwa wananchi kiasi shilingi za kitanzania bilioni tatu na nusu
ambazo ni ujira wao kutokana na mauzo waliyoyafanya kupitia biashara kwa
njia ya mtandao (Network Marketing)..
Mkurugenzi
huyo amesema tayari hadi sasa watu wanne wamepata fulsa ya kupata
magari mapya wakiwa ni watanzania katika kipindi cha mwanzo ambapo
biashara ya Trevo bado ilikuwa haijafahamika.Kushoto ni Rais wa Kamouni ya Trevo Tanzania, Mark Steven
Rais wa Kamouni ya Trevo Tanzania, Mark Steven wakijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Trevo Tanzania, David Kagoro (Kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Trevo Tanzania, Michael Ajao jijini Dar es Salaam leo.
SHARE











No comments:
Post a Comment