TRA

TRA

Sunday, May 8, 2016

BONGO CARNIVAL YAKUSANYA WATOTO WA JIJINI DAR KUFURAHI PAMOJA.

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Bongo Carnival yawakusanya pamoja watoto wa jijini Dar es Salaam kwa kucheza na kufurahi pamoja katika viwanja vilivyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Bongo Carnival imedhaminiwa na Azam, Superdoll, Blue Band, Alliance Auto pamoja na wajasiliamali mbalimbali kwaajili ya kuwaweka watoto wa maeneo mbalimbali pamoja.
Watoto wakiwa wamepanda ngamia.
Mtoto akisalimiana na mtu aliyevaa mavazi ya mwanasesele.
Mtoto akisaidiwa na mzazi wake kupiga kitu mbele na mwanasesele wa bastola.
Watoto wakiwa kwenye banda la Blue Band wakicheza michezo mbalimbali.
Watoto wakiwa kwenye banda la Blue Band wakiangalia mpira katika banda hilo.
Watoto wakipiga picha na watu waliovaa mavasi ya mwanasesele, Spaida pamoja na Ngongoti.
Mtoto akinyanyuliwa na mtu aliyevaa magongo.
Watoto wakifurahia michezo.

Watoto wakifurahia michezo.
watoto wakicheza mchezo wa kurukaruka.


Mjasiliamali akichora mtoto.
Baadhi ya wazazi na watoto wakiwawamewatembelea wajasialiamali waliokuwepo katika Bono Carnival jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wazazi na watoto wakipata huduma mbalimbali katika banda la Azam.

Picha na mtu aliyevaa mavazi ya mwanasesele.
Ngamia akiwabeba watoto kwaajili ya kufurahia Bongo Carnival jijini Dar es Salaam katika viwanja vya Oystebay.

Michezo mbalimbali ikiendelea katika viwanja vya Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger