Angelina
Malembeka Mbunge wa viti maalum kamuuliza Waziri wa Katiba na Sheria
Mwakyembe kuwa ‘adhabu inayotolewa kwa watu wanaolawiti watoto nchini
adhabu imekuwa kifungo cha maisha, kwanini wahusika wasihasiwe ili
wasirudie vitendo hivyo’
Tazama hii video hapa chini kujua stori kamili kutoka bungeni….
SHARE








No comments:
Post a Comment