TRA

TRA

Wednesday, May 11, 2016

Magoli ya mechi ya Mbeya City vs Yanga May 10 2016,

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !



Jumanne ya May 10 2016 klabu ya Mbeya City ilikuwa mwenyeji wa Mabingwa wa Ligi Kuu soka Tanzania bara klabu ya Dar es Salaam Young Africans katika uwanja wa Sokoine Mbeya, mchezo huo ulimalizika kwa Yanga ambao ndio Mabingwa wa Ligi Kuu kuibuka na ushindi wa goli 2-0, magoli ambayo yalifungwa na Vincent Bossou dakika ya 15 na Amissi Tambwe dakika ya 84.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger