Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaana Michezo Bi.Nuru Khalfani
Mrisho akizungumza wakati akifungua mafunzo mafupi ya matumizi ya
huduma za mawasiliano na mitandao ya kijamii yanayotolewa kwa watumishi
wa wizara ya habari,utamaduni,Sanaa na michezo.Wengine
Meneja
Mawasiliano Mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) Bw.Innocent Mungy
akitoa mada ya ukuaji wa sekta ya mawasiliano na changamoto zake kwa
watumishi wa umma kutoka wizara ya habari,utamaduni,Sanaa na Michezo leo
jijini Dar es Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi Mamlakaya Mawasiliano Tanzania(TCRA)Mhandishi James Kilaba
akizungumzana katika warsha hiyo iliyofunguliwa na Naibu Katibu Mkuu
Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaana Michezo Bi.Nuru Khalfani Mrisho.
Watumishi
wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaana Michezo wakifuatilia kwa karibu
mafunzo ya Matumizi Mazuri ya huduma za Mawasiliano na mitandao ya
kijamii iliyotolewa leo hii na mamlaka ya Utangazaji Tanzania.(P.T)
SHARE








No comments:
Post a Comment