TRA

TRA

Monday, May 2, 2016

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAMUAGA KATIBU MKUU DKT. MOHAMED JIDAWI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


oz1
Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na wafanyakazi katika hafla ya kuamuaga Katibu Mkuu aliemaliza muda wake Dkt. Mohd Jidawi (kushoto) na kumkaribisha Katibu Mkuu mpya (kulia) Dkt. Juma Malik Akili alievaa kofia katika Ofisi ya Wizara hiyo Mnazimmoja, Mjini Zanzibar.
oz2
Katibu Mkuu Mstaafu wa Wizara ya Afya Dkt. Mohd Jidawi akiwashukuru wafanyakazi wa Wizara hiyo kwa ushirikiano mkubwa waliompa wakati wa kutekeleza majukumu yake.
oz3
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo  na Katibu Mkuu mpya wa Wizara hiyo Dkt. Juma Malik Akili wakimsikiliza katibu Mkuu mstaafu Dkt. Mohd Jidawi (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kumuaga iliyofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja.
oz4
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi cheti cha heshima Katibu Mkuu mstaafu wa Wizara hiyo Dkt. Mohd Jidawi katika hafla ya kumuaga iliyofanyika Wizarani, Mnazimmoja. Wa kwanza (kushoto) ni mke wa Dkt. Jidawi, Dkt. Mwanaheri Jidawi.
oz5
Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akimkabidhi  meza yenye mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door), Katibu Mkuu mstaafu wa Wizara hiyo Dkt. Mohd Jidawi katika hafla ya kumuaga iliyofanyika Wizarani, Mnazimmoja. Wa kwanza (kushoto) ni mke wa Dkt. Jidawi, Dkt. Mwanaheri Jidawi.
oz6
Waziri wa Afya Mhmoud Thabit Kombo, Katibu Mkuu mstaafu na Katibu Mkuu mpya katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi walioshiriki katika hafla hiyo. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.(P.T)

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger