Mgeni
Rasmi, Dkt.Kissui Steven Kissui ambae ni Mwenyekiti wa Shindano la
Uwezeshaji Kiuchumi na Ajira Tanzania, akifungua Mkutano wa
Wafanyabiashara ndogondogo (Machinga) Jijini Mwanza uliofanyika hii leo.
Mkutano
huo ambao uliandaliwa na Shirika la Machinga Mkoa wa Mwanza SHIUMA,
ulilenga kujadiliana na wadau wengine wa Uwekezaji ikiwemo taasisi za
kifedha, juu ya Kurasimisha biashara zao na kuwekwa kwenye mifumo rasmi
ya Kibiashara na Kijamii.
Machinga
wamesema changamoto kubwa zinazowakabiri ni Ukosefu wa Mitaji ya
Biashara, Maeneo ya Kufanyia Biashara pamoja na Ukosefu wa Elimu
Biashara. Wamesema wanataka nao watambulike na taasisi za kifedha ili
wapate fursa ya kukopesheka ili kukuza mitaji yao.
Mgeni
Rasmi, Dkt.Kissui Steven Kissui ambae ni Mwenyekiti wa Shindano la
Uwezeshaji Kiuchumi na Ajira Tanzania, akifungua Mkutano wa
Wafanyabiashara ndogondogo (Machinga) Jijini Mwanza uliofanyika hii leo.
Katibu
wa Shirika la Machinga Mkoa wa Mweanza SHIUMA, Venatus Anatory,
akizungumza katika Mkutano wa Wafanyabiashara ndogondogo (Machinga)
Jijini Mwanza uliofanyika hii leo.
Mmoja wa Machinga akizungumza katika Mkutano wa Machinga Jijini Mwanza uliofanyika hii leo
Mmoja wa Machinga akizungumza katika Mkutano wa Machinga Jijini Mwanza uliofanyika hii leo
Mmoja wa Machinga akizungumza katika Mkutano wa Machinga Jijini Mwanza uliofanyika hii leo
Mwenyekiti
wa SHIUMA, Matondo Masanja (katikati), akiwa na wadau wengine katika
Mkutano wa Machinga Jijini Mwanza uliofanyika hii leo
Machinga Jijini Mwanza
Machinga Jijini Mwanza
Machinga
Jijini Mwanza wakinyoosha mikono juu ikiwa ni ishara ya kukubaliana kwa
pamoja na hoja yakurasimisha biashara zao, Kupata maeneo rasmi ya
Kufanyia biashara katikati ya Jiji pamoja na Kutambulika katika taasisi
za kifedha ili waweze kukopesheka na kupatiwa elimu ya kibiashara.
SHARE

No comments:
Post a Comment