Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa
pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mdhamini wa ghala la
Karafuu Mkoani Pemba Nd,Ali Suleiman Kassim wakati alipotembelea Ghala
la Kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani jana akiwa katika ziara ya
kutembelea taasisi hiyo,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa
pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya
Biashara,Viwanda na Masoko Nd,Bakari Haji Bakari wakati alipotembelea
Ghala la kuhifadhia zao la Karafuu la ZSTC Mkoani jana akiwa katika
ziara ya kutembelea taasisi hiyo.
Baadhi ya
Karafuu zilizonunuliwa kwa wananchi jumla ya tani 183 zikiwa
zimehifadhiwa katika ghala la ZSTC Mkoani ambazo tayari kwa mauzo,ambapo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) jana alitembelea ghala hilo
Wiziri wa
Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali (kushoto) akitoa maelezo
kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (katikati) wakati alipotembelea Ghala la kuhifadhia zao la
Karafuu la ZSTC Mkoani jana akiwa katika ziara ya kutembelea taasisi
hiyo,(kulia) Mkuu wa Wilaya ya Mkoani Hemed Suleiman
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akimuliza suala kwa Afisa Mdhamini wa ghala la Karafuu Mkoani
Pemba Nd,Ali Suleiman Kassim wakati alipotembelea Ghala la Kuhifadhia
zao la Karafuu la ZSTC Mkoani jana akiwa katika ziara ya kutembelea
taasisi hiyo (katikati) Wiziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina
Salum Ali,
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(mwenye kipaza sauti) alipokuwa akizungumza na Wananchi na wafanya
bishara wa zao la karafuu wakati alipotembelea Ghala la Kuhifadhia zao
la Karafuu la ZSTC Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba jana (kushoto) Mkuu wa
Wilaya ya Mkoani Hemed Suleiman,
[Picha na Ikulu.] 11/09/2016.(P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment