Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Kitema I wilayani Tandahimba
waliojitokeza kwa wingi kumlaki wakati akiwasili kwenye wilaya hiyo
ikiwa sehemu ya ziara yake mkoani Mtwara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa kwa burudani ya ngoma wakati akiwasili kwenye makao makuu ya wilaya ya Tandahimba, mkoani Mtwara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakazi wa wilaya ya Tandahimba kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika kwenye uwanja wa Kiwanda cha kubangua korosho cha AMAMA
kilichopo wilayani Tandahimba mkoani Mtwara.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi na Mdhibiti wa ubora wa bidhaa Bw.
Karim Hassan (kushoto) ya hatua mbali mbali ambazo korosho hupitia
wakati wa kubanguliwa kwenye kiwanda cha AMAMA kilichopo Tandahimba
mkoani Mtwara.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI (P.T)
SHARE
No comments:
Post a Comment