Rais
Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi akipokea zawadi ya mchoro toka kwa
Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem al Najem katika hafla ya kusherehekea
Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya mapambano ya
ukombozi katika ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam
usiku huu. Kushoto ni waziri wa mambo ya nchi za nje Dkt. Andrew Mahiga
Rais Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi akikata keki na Balozi wa Kuwait
nchini Mhe. Jasem al Najem katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya
Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya mapambano ya ukombozi katika
ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam usiku huu. Kushoto
ni waziri wa mambo ya nchi za nje Dkt. Andrew Mahiga
Rais
Mstaafu Alhaj Ally Hassan Mwinyi akikata keki na Balozi wa Kuwait
nchini Mhe. Jasem al Najem katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya
Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya mapambano ya ukombozi katika
ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam usiku huu. Kushoto
ni waziri wa mambo ya nchi za nje Dkt. Andrew Mahiga
Keki
ya hafla hiyo ya kusherehekea Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait na
miaka 26 ya mapambano ya ukombozi katika ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay
jijini Dar es salaam usiku huu.
SHARE
No comments:
Post a Comment