Mwenyekiti wa UWT wa Uwt Mkoa wa Kaskazini akimkaribisha
Mgeni Rasmi katika Ufunguaji wa Semina ya Mafunzo ya Ujasiliamali Shaka
Hamdu Shaka Kaimu Katibu Uvccm Taifa
kizuri cha uhalisi wa jambo hili katika maeneo yenu, hata hizi million
moja nilizowachangia naelekeza zikanunuliwe malighafi ili kuongeza
uzalishaji na kuimarisha mfuko wenu muda huu mkiendelea na mafunzo”
Mbunge wa viti Maalum na mfadhili Mkuu wa mafunzo hayo Mhe Malembeka akimkabidhi moja ya Bidhaa iliyo tengenezwa katika Mafunzo hayo aina ya batiki kaimu katibu mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka katika ufunguaji wa semina ya mafunzo ya Ujasiria mali kwa makatibu na wenyeviti UWT kata 18 Mkoani Kaskazini Unguja.
Kaimu
Katibu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika kufungua
Semina hiyo ya mafunzo ya Ujasilia mali kwa Makatibu na Wenyeviti wa UWT
kata18 Mkoani Kaskazini Unguja Alisema”Lazima tuhamasishane kwani dhana hii ya Tanzania ya viwanda haihitaji mamilioni ya pesa tunaweza kuanzisha viwanda vidogo vidogo na vijana wakapata ajira, kukamilika kwa mafunzo haya na tija yake ikaonekana ndani ya jamii naamini tutakuwa tumepunguza malalamiko ya vijana na wakinamama, jukumu kubwa sasa ni kuwasimamia, kuwaendeleza ili mkikamilisha
mafunzo haya malengo yaweze kufikiwa , na pia tunataka mkawe kielezokizuri cha uhalisi wa jambo hili katika maeneo yenu, hata hizi million
moja nilizowachangia naelekeza zikanunuliwe malighafi ili kuongeza
uzalishaji na kuimarisha mfuko wenu muda huu mkiendelea na mafunzo”
Mbunge wa viti Maalum na mfadhili Mkuu wa mafunzo hayo Mhe Malembeka akimkabidhi moja ya Bidhaa iliyo tengenezwa katika Mafunzo hayo aina ya batiki kaimu katibu mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka katika ufunguaji wa semina ya mafunzo ya Ujasiria mali kwa makatibu na wenyeviti UWT kata 18 Mkoani Kaskazini Unguja.
Baadhi ya Washiriki wa Semina hiyo
Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka wa pili kulia
akionyeshwa aina mbali mbali za Batiki zilizo tengenezwa na Washiriki wa
Semina ya mafunzo ya ujasiliamali kwa maklatibu na wenyeviti UWT Mkoa
wa Kaskazini Unguja.
Mbunge wa viti Maalum na mfadhili Mkuu wa mafunzo hayo Mhe
Malembeka wa kwanza kushoto akimuonesha na kumfafanulia Ndg:Kaimu
Katibu Mkuu namna kemikali zinazo baki mara baada ya utengenezaji wa
batiki
(picha zote na Fahadi Siraji)
SHARE
No comments:
Post a Comment