SHARE
Friday, March 3, 2017
Mbunge Godbless Lema ameachiwa kwa dhamana
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo March 3, 2017 imemuachia kwa dhamana
Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, Mahakama hiyo ilimtaka mbunge huyo
kuwa na wadhamini wawili na Tsh. Mil 3 lakini ikafanya marekebisho kwa
kumtaka Lema kusaini bondi ya shilingi milioni 1 ambapo alikidhi vigezo
na kuachiwa huru.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment