Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Balozi Dkt. Pindi Kichana anayeiwakilisha Tanzania
Nchini Kenya akiwaongoza Mabalozi wengine walioteuliwa hivi karibuni na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe
Magufuli,walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa
kuiwakilisha Tanzania Nchi za Nje hivi karibuni wakiongozwa na Balozi
Dkt. Pindi Kichana(wa pili kulia) anayeiwakilisha Tanzania Nchini Kenya
walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
walioteuliwa kiwakilisha Tanzania Nchi za Nje hivi karibuni wakiongozwa
na Balozi Dkt. Pindi Kichana(wa pili kulia) anayeiwakilisha Tanzania
Nchini Kenya walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais.
(Picha na Ikulu.)
SHARE
No comments:
Post a Comment