Rais Dkt
John Pombe Joseph Magufuli akiongozana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mhe. Hashim Mgandilwa
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam akitokea katika ziara ya kikazi katika
mikoa ya Lindi na Mtwara jioni ya leo March 5, 2017.
SHARE
No comments:
Post a Comment