DJ Buster kutoka Lake Fm akisababisha burudani kweny Gulio la katika Mnada wa Nyakato National Jijini Mwanza.
102.5
Lake FM Mwanza, #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo leo Mei 26,2017
imezindua rasmi burudani za Gulio la Mtaa kupitia kampeni yeke ya usafi
ya Ng’arisha Nzengo Uchafu Nuksi.
Burudani
leo iko katika mnada wa Nyakato National Jijini Mwanza kisha itahamia
kwenye minada yote Jijini Mwanza ambapo kuna makumi ya wasanii
watakaoshusha burudani kali balaa.
Kupitia
burudani, Lake Fm inahamasisha suala la usafi minadani na mkoani Mwanza
kwa ujumla. Pia kila mnada atatafutwa Mama Lishe Bora, Balozi Imara na
Mwananzengo Hodari ambapo watajipatia zawadi.
Burudani
za Gulio la Mtaa zimepewa nguvu na Pepsi, Tigo, Busy Bee, Barmedas Tv,
Genic Studio, Mama Salakika Deco, Lake Zone Tents & Supply, Mamba
Entertainment, CF Hospital, Gerusalem Sound na BMG.
Wanyakazi wa Lake Fm
Wanyakazi wa Lake Fm
Mwananzengo katika ubora wake
Raha ya Rock City
Burudani
Wanyakazi wa Lake Fm, kulia ni Tatu Jabu na kushoto Fatuma Sinda
Vester JTZ kutoka Lake Fm Mwanza
Morice kutoka Lake Fm akihost burudani ya Gulio la Mtaa, Mnada wa Nyakato
Haroun Tambwe kutoka Lake Fm
Amina Swedy kutoka Lake Fm
Eve kutoka Lake Fm
Amos kutoka Lake Fm
Mtangazaji wa kipindi cha Kijiji Pub kutoka Lake Fm
Washereheshaji kutoka Barmedas Tv Mwanza
Stage ya Gulio la Mtaa
Wananzengo kwenye ubora wao
Katikati ni Mkurugenzi wa Lake Fm, Doreen Noni, akiteta jambo kwenye Gulio la Mtaa
Zawadi za tisheti kwa Wananzengo
Wananzengo kwenye Gulio la Mtaa
Back Stage, Wasanii watakaoshambulia jukwaa la Gulio la Mtaa

Back Stage, Wasanii watakaoshambulia jukwaa la Gulio la Mtaa na Wananzengo wa Lake Fm
Back Stage, Wasanii watakaoshambulia jukwaa la Gulio la Mtaa
Back Stage, Wananzengo na Wasanii watakaoshambulia jukwaa la Gulio la Mtaa

Shukurani sana Tigo, Jaza Ujaziwe
Wananzengo tayari kwenye Gulio la Mtaa
Wananzengo wako tayari kwenye Gulio la Mtaa
Wananzengo wako tayari kwenye Gulio la Mtaa
Wananzengo wako tayari kwenye Gulio la Mtaa
Burudani zimeanza kwa kasi
Sogea Mnada wa Nyakato National upate burudani za Gulio la Mtaa kutoka 102.5 Lake Fm Mwanza #RahaYaRockCity #RedioYaWananzengo
SHARE
No comments:
Post a Comment