RAIS wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa
Djbouti Mhe.Ismail Omar Guelleh alipofika katika Ikulu ya nchi hiyo leo Mei 7,
2017.Dkt. Shein yuko nchini humo kwa ziara ya kiserikali.(PICHA NA IKULU YA ZANZIBAR)
Dkt. Shein akiongozana na mwenyeji wake, RaisIsmail Omar Guelleh
SHARE
No comments:
Post a Comment