Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa, (kushoto), akisalimiana na Mbunge
wa Tarime Vijijini (CHADEMA), Mhe. John Heche, anayepatiwa matibabu
kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam Mei 7, 2017. Mhe.Heche ambaye alikuwa mjini Dodoma akihudhuria vikao
vya bunge, aliugua ghafla mjini humo wiki iliyopita na kusafirishwa
kuja MNH kwa matibabu zaidi.
SHARE
No comments:
Post a Comment