By @diamondplatnumz
Kupata
mtu wa kuzaa nae inaweza isiwe tabu sana ila kupata Mwanamke atae
kubali kuacha stareh zote za dunia na kukulelea watoto ipaswavyo sio
kitu rahisi.... kazi yangu imejawa na vishawishi vigi sana, wakati
mwingine napatia wakati
mwingine nakukosea lakini siku zote umekuwa mwenye kunielekeza
nikoseapo na sio kunihukumu...na ndiomaana siku zote chochote ukitakacho
nikiwa nacho lazma nikupe pengine itanisaidia kukuelezea ni kias gani
nakupenda na kukuthamini.... Happy Mother's Day @zarithebosslady
SHARE
No comments:
Post a Comment