Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi
(katikati waliokaa) akipiga picha ya pamoja na wanachama wa chama cha
wapima Ardhi Tanzania, baada ya kumaliza semina iliyofanyika jana katika
hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi (wa
pili kulia) akisisitiza jambo wakati akifungua semina ya wanachama wa
chama cha wapima Ardhi Tanzania, iliyofanyika jana katika hoteli ya
Morena Mjini Dodoma.
Wanachama wa chama cha wapima ardhi Tanzania wakifwatilia semina iliyoendelea leo katika hoteli ya Morena Mjini Dodoma.
SHARE
No comments:
Post a Comment