Pamoja na mashabiki wengi wa Arsenal kuonekana wangependa Arsene Wenger aondoke, yeye ameendelea kuchota mamilioni.
Tokea atue Arsenal, Kocha Arsene Wenger amechota takribani Sh pauni milioni 40 kwa ajili ya usajili wake tu.
Mara
ya kwanza mwaka 1996 alipojiunga na Arsenal akitokea Japan, Wenger
alilipwa pauni 500,000. Lakini mkataba wake mpya wa miaka miwili
atalipwa pauni milioni 8.
Hii
inamfanya Wenger kuwa katika kundi la makocha watano wenye thamani ya
juu katika ligi hiyo kila wakati wa kusaini mkataba mpya.
SHARE
No comments:
Post a Comment