Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akipandisha bendera,
kuzindua Shina namba sita la CCM la Kiyobela, Katika Kijiji cha Kabiko
wilayani Kakonko mkoani Kigoma, jana.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akiondoa bendera kwenye
jiwe la Msingi, kuzindua Shina namba sita la CCM la Kiyobela, Katika
Kijiji cha Kabiko wilayani Kakonko mkoani Kigoma.
Wanacha wa Jumuia ya Wazazi wakimpa zawadi ya asali baada ya kuzindua Shina hilo.
Viongozi
wa Shina hilo, wakimkabidhi Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah
Bulembo risala yao waliyosoma wakati wa uzinduzi wa shina hilo. Kulia
ni Mwenyekiti wa CCM, Wilaya ya Kakonko Ayub Ngaramo na Watatu kulia ni
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Amani Kaborou
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akishiriki kuselebuka na
Kinamama wa CCM waliompokea alipowasili kuzindua shina Namba Sita la CCM la Kiyobela, Katika Kijiji cha Kabiko wilayani Kakonko mkoani Kigoma.
Mwenyekiti
wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Kigoma, Mbunge wa viti maalum Josephine
Ngezabuke (watatu kushoto), akiselebuka na Kina mama wa CCM wakati wa
uzinduzi wa Shina hilo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdalla Bulembo akisaini kitabu cha wageni Kabla ya kuzindua Shina namba Sita la
CCM la Kiyobela, Katika Kijiji cha Kabiko wilayani Kakonko mkoani
Kigoma, leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Amani
Kabourou na kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kakonko Ayub Ngaramo
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulelmbo akimwambia jambo Mkuu wa
Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala, baada ya kuzindua Shina namba
Sita la CCM la Kiyobela, Katika Kijiji cha Kabiko wilayani Kakonko mkoani Kigoma, leo. Kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma Naomi Kapambala
Mjube
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akipata maelezo kutoka kwa
baadhi ya viongozi, alipokagua ujenzi wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Kakonko
mkoani Kigoma, leo
Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma, Naomi Kapambala na Baadhi ya viongozi wakitazama ujenzi wa ofisi hiyo unavyoendelea.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo 'akitroti' kidogo, wakati
akitoka kukagua ujenzi wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma
leo
Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi ya CCM Wilaya ya Kakonko
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akipandisha bendera
kuzindua Shina la CCM Namba Sita, Tawi la Kakonko Msufini, Wilayani
Kakonko mkoani Kigoma, leo. Kulia (aliyeketi) ni Mwenyekiti wa Shina
hilo Ramadhan Adam ambaye ana ulemavu wa miguu.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo akiondoa kitambaa kuzindua
Shina la CCM Namba Sita, Tawi la Kakonko Msufini, Wilayani Kakonko
mkoani Kigoma, leo.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Alhaj Abdallah Bulembo akimsalimia Mwenyekiti wa Sina
la CCM Namba Sita, Tawi la Kakonko Msufini, Wilayani Kakonko mkoani
Kigoma, Ramadhan Adam mwenye ulemavu wa miguu, baada ya kuzindua shina
hilo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Ahlaj Abdallah Bulembo akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya viongozi na wanachama wa CCM, baada ya kuzindua
shina hilo hilo
Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kakonko, Mabalozi, Viongozi na
watendaji wa CCM, Watendaji wa Serikali na Viongozi mbalimbali wa CCM na
Jumuia zake. Walisimama kwa nderemo na vifijo Mjumbe wa Kamati Kuu ya
CCM, Alhaj Abdallah Bulembo alipokuwa akiingia ukumbini kuzungumza nao
katika kikao cha ndani.

KIKAO CHA NDANI🔻
Katibu
wa CCM wa CCM mkoa wa Kigoma Naomi Kapampala akifanya utambulisho kabla
ya Mjumbe wa Kamati ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo kuzungumza katika
kikao cha ndani cha Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Kakonko,
Mabalozi, Watendaji wa Serikali na Watendaji wa CCM na viongozi mbali
mbali wa CCM na Jumia zake, leo.
Mkuu wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Ndagala akisalimia baada ya kutambulishwa kwenye kikao hicho
Nwebyekiti
wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Kigoma, Mbunge wa Viti Maalum Josephine
Ngenzabuke akisalimia baada ya kutabulishwa kwenye kikao hicho
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kakonko Ayub Ngaramo akifungua kikao hicho.
Ofisa kutoka Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Tanzania Omar Kalolo akitamba ukumbini wakati akisalimia baada ya kutambulishwa
Msaidizi
katika Ofisi ya Siasa na Oganaizesheni Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi
Tanzania Fadhili Mlami akisalimia baada ya kutambulishwa kwenye kikao
hicho
Baadhi ya maofisa na wadau wakiwa kwenye kikao hicho
Katibu
wa Siasa na Oganaizesheni Makao Makuu ya Jumuia ya Wazazi Tanzania
Daniel Mgaya akisalimia baada ya kutambulishwa kwenye kikao hicho
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Kigoma, Dk. Amani Kaborou akikmaribisha Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Alhaj Abdallah Bulembo kuzungumza katika kikao hicho
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kakonko, Mabalozi, Viongozi na
watendaji wa CCM, Watendaji wa Serikali na Viongozi mbalimbali wa CCM na
Jumuia zake, kikao hicho cha ndani.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kakonko, Mabalozi, Viongozi na
watendaji wa CCM, Watendaji wa Serikali na Viongozi mbalimbali wa CCM na
Jumuia zake, kikao hicho cha ndani. PICHA: BASHIR NKOROMO
SHARE
No comments:
Post a Comment