Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj
Abdallah Bulembo akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya
ya Kasulu, Mabalozi, Watendaji wa CCM na wa Serikali, katika kikao cha
ndani kilichofanyika leo, Juni 2, 2017, mjini Kasulu, akiwa katika
mwendelezo wa ziara zake za Kichama mikoani.

mwendelezo wa ziara zake za Kichama mikoani. Kushoto ni Mwenyekiti wa
CCM mkoa wa Kigoma Dk. Amani Kaborou na Kulia ni Mwenyekiti wa CCM
Wilaya ya Kasulu Ezekiel Kaloba.
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Kigoma Dk. Amani Kaborou wakati akimkaribisha mgeni
rasmi kuzungumza katika kikao hicho. Kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum
Josephine Ngezabuke, Katibu wa Siasa na Oganaizesheni Makao Makuu ya
Jumuia ya Wazazi Tanzania Daniel Mgaya, Katibu wa CCM Wilaya ya Kasulu
Ndugu Manyonyi na Kuliani Katibu wa CCM mkoa wa Kigoma Naomi Kapambala,
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kasulu Ezekiel Kaloba na Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah
Bulembo
Katibu
wa CCM mkoa wa Kigoma, Naomi Kapambala alipokuwa akitoa maneno ya
utangulizi katika kikao hicho. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma
Dk. Amani Kaborou na Mgeni Rasmi Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Alhaj Abdallah Bulembo
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kasulu Ezekiel Kaloba alipokuwa akifungua kikao hicho
Wajumbe
wakishangilia wakati Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa Jumuia
ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo alipokuwa aliposema maneno
yenye mguso wakati akizungumza nao kwenye kikao hicho.
Wajumbe
wakimsikiliza kwa makini Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mwenyekiti wa
Jumuia ya Wazazi Tanzania, Alhaj Abdallah Bulembo alipokuwa alipokuwa
akizungumza nao kwenye kikao hicho.PICHA: BASHIR NKOROMO
SHARE
No comments:
Post a Comment