Watafiti nchini Uingereza wanasema majaribio ya awali ya dawa ya kukabiliana na saratani ya ovari yameonyesha matumaini makubwa.
Dawa hiyo inashambulia seli mbaya pekee.
S
Saratani ya ovari huwa si rahisi kutibu, na japo wanasayansi wanasema dawa hiyo sio tiba halisi, itasaidia pakubwa kurefusha maisha ya wagonjwa.
- Tanzania kuchunguza saratani ya kizazi kwa simu
- Madaktari wa Afrika Mashariki kupata ujuzi wa saratani Uingereza
- Babu atafuta klabu mpya ya kuchezea
Marianne alipata matibabu kwa muda wa miezi sita, na dawa hiyo ikapunguza uvimbe wote kati mwili wake na kuondoa maumivu yote aliyokuwa akihisi.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment