Mkuu
wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akizungumza na mmoja wa wazee
waliofika kupatiwa huduma katika viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo ofisi
nzima ya Manispaa hiyo imehamia viwanjani hapo kwa ajili ya kuhudumia
watu ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Utumishi wa Umma katika
wilaya hiyo.
Katibu
Tawala wa Wilaya ya Ilala , Edward Mpogolo akiwa na Naibu Meya wa
Manispaa hiyo Omary Kumbilamoto wakitoa huduma kwa wadau waliofika
kutaka msaada juu ya mambo yanayowakabili . Ofisi za Manispaa hiyo
zimahamia hapo kwa muda kwa ajili ya kuhudumia watu, ikiwa ni sehemu ya
mahadhimisho ya wiki ya utumishi wa Umma katika wilaya hiyo.
Mkurugenzi
wa Manispaa ya Ilala Msongela Palela akimuhudumia mmoja wa wakazi wa
jiji la Dar es Salaam waliofika katika viwanja vya mnazi mmoja.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akipata maelezo kutoka kwa mmoja
wa wakilishi wa kampuni ya kuuza vifaa vya kuzimia moto inayojulikana
kwa jina la Zima Moto
Afisa
mkaguzi Msaidiz wa jeshi la Zima Moto , akitoa maelezo kwa Mkuu wa
Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema wakati wa maonyesho ya wiki ya utumishi
wa Umma yaliyofanyika katika Viwanja vya mnazi mmoja Dar es Salaam.
Mkuu
wa Wilaya ya Ilala , Sophia Mjema akizungumza na baadhi ya watumishi wa
Manispaa ya Ilala ambo wanatoa huduma kwa wananchi katika Viwanja vya
mnazi mmoja
SHARE
No comments:
Post a Comment