Kikosi cha
wachezaji 22 wa timu ya Tanzania 'Taifa Stars', kimeondoka kuelekea
nchini Afrika Kusini kushiriki michuano Kombe la Castle Cosafa.
Katika kundi B kuna timu za Msumbiji, Shelisheli, Madagascar pamoja na Zimbabwe, michuano hiyo itaanza kutimua vumbu kuanzia Juni 25.
Mwenyeji Afrika ya kusini,Botswana, Zambia, Namibia, Lesotho na Swaziland watacheza michezo maalumu za mchujo (play off) kuwania kuingia robo fainali.
SHARE
No comments:
Post a Comment