Kiongozi wa Girl Guides TGGA Makao Makuu, Valentina (katikati) akijadiliana jambo na Michelline Uwiringiyimana (Rwanda) pamoja na Andriambolamanana Vahatrimama. |
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna
Abdallah akimkabidhi zawadi Girl Guides kutoka Uganda, Rachel
Baganyire wakati wa hafla ya kuwaaga Girl Guides kutoka Rwanda, Uganda
na Madagascar kwenye Hoteli ya Courtyard Protea, Seaview, Dar es Salaam.
Girl Guides hao walikuwa nchini kwa muda wa miezi 6 kwa programu ya
kubadilisha uzoefu katika masuala ya utamaduni, maadili na uongozi. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna
Abdallah akimkabidhi zawadi Girl Guides kutoka Madagascar,
Andriambolamanana Vahatrimama wakati wa hafla ya kuwaaga Girl Guides
kutoka Rwanda, Uganda na Madagascar kwenye Hoteli ya Courtyard Protea,
Seaview, Dar es Salaam. Girl Guides hao walikuwa nchini kwa muda wa
miezi 6 kwa programu ya kubadilisha uzoefu katika masuala ya utamaduni
na uongozi.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna
Abdallah akimkabidhi zawadi Girl Guides kutoka Rwanda, Michelline
Uwiringiyimana wakati wa hafla ya kuwaaga Girl Guides kutoka Rwanda,
Uganda na Madagascar kwenye Hoteli ya Courtyard Protea, Seaview, Dar es
Salaam. Girl Guides hao walikuwa nchini kwa muda wa miezi 6 kwa programu
ya kubadilisha uzoefu katika masuala ya utamaduni na uongozi.
Vingozi wa TGGA wakiwa katika picha ya pamoja Girl Guides wanaoagwa
Girl
Guides waliokuwa katika mafunzo ya uongozi, maadili na utamaduni
walioagwa; Wasichana hao ni; Michelline Uwiringiyimana (Rwanda), kulia,
Recheal Baganyire (Uganda),kushoto, na Andriambolamanana Vahatrimama.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TGGA, Grace Makenya akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Katibu
Mkuu wa TGGA, Grace Shaba akizungumza wakati wa kuanza kwa hafla hiyo
ambapo alianza kwa kuwatambulisha viongozi wa TGGA. Kulia ni Kamishna wa
TGGA Makao Makuu, Rose Majuva.
Kiongozi wa Girl Guides Mkoa wa Dar es Salaam, Ruth akitambulishwa wakati wa hafla hiyo..
Dereva wa TGGA, Juma akitambulishwa
Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi (wa pili kushoto) akiwa katika hafla hiyo
Recheal Baganyire Girl Guides kutoka Uganda
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TGGA, Zakia Meghji akizungumza na Recheal Baganyire Girl Guides kutoka Uganda
Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi akizungumza wakati wa hafla hiyo
Mwenyekiti wa Taifa wa TGGA, Martha Qorro akitoa nasaha kwa Guides wakati wa hafla hiyo
Andriambolamanana Vahatrimama.
Michelline Uwiringiyimana (Rwanda)
Michelline
Uwiringiyimana (Rwanda), akitoa shukrani kwa TGGA kwa kuwalea kwa muda
wote wa miezi sita na kwamba wamejifunza mambo mengi watakayokwenda
kufundisha kwao.
Mkufunzi wa TGGA Makao Makuu akizungumza alipotambulishwa
Kamishna Mkuu wa TGGA Makao Makuu, Rose Majuva akizungumza alipotambulishwa
Kiongozi wa TGGA Makao Makuu, Rehema Kijazi (kulia) akiwa na Mhasibu wa chama hicho
Sasa ni wakati wa misosi
Ni misosi kwa kwenda mbele
Anna
Abdalah akitoa nasaha kwa Girl Guides wanaoagwa kutumia vizuri mafunzo
waliyoyapata nchini na kwenda kufundisha wenzao katika nchi zao.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TGGA, Grace Makenya naye akitoa nasaha zake
Girl Guides wanaoagwa wakiwa katika picha ya pmoja na viongozi wa TGGA
Kamishna Mkuu wa TGGA, Hangi akiwa katika picha na Girl Guides wanaoagwa
SHARE
No comments:
Post a Comment