Aliyekuwa Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Kamishna Msaidizi Mwandanmizi (SACP),
Mohammed Mpinga, (kulia), akimkabidhi nyaraka za kiofisi, Kamanda mpya wa
kikosi hicho, Kamishna Msaidizi Mwandamizi, (SACP), Fortunatus Muselemu, makao
makuu ya kikosi hicho jijini Dar es Salaam. Kamanda mpinga amehamishiwa Mkoani
Mbeya anakokwenda kuwa Kamanda wa polisi wa mkoa huo.
SHARE
No comments:
Post a Comment