Kikundi
cha Confucius toka Dodoma kikitoa burudani wakati wa uzinduzi wa
tamasha la urithi wa utamaduni wa China mapema Julai 21, 2017 jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
wa kituo cha Utamaduni cha Ningxia nchini China Bi. Hui King
akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa
tamasha la urithi wa utamaduni wa China mapema Jijini Dar es
Salaam.
Naibu Mkurugenzi wa Idara ya
Mambo ya Nje ya Wizara ya Utamaduni wa China Bw. Zheng Hao akizungumza na
wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa tamasha la urithi wa
utamaduni wa China mapema Jijini Dar es Salaam
|
Balozi wa China Dkt. Lu Youqing
akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa tamasha
la urithi wa utamaduni wa China mapema Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Utamaduni toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Bi. Lily Beleko akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa
uzinduzi wa tamasha la urithi wa utamaduni wa China Jijini Dar
es Salaam.
Mshiriki wa maonesho toka China akiwaonesha baadhi ya Wanafunzi
toka shule ya St. Mathew namna ya kufuma vitu mbalimbali wakati wa
uzinduzi wa tamasha la urithi wa utamaduni wa China mapema Jijini Dar
es Salaam.
Wanafunzi wa Kitanzania wanaojifunza lugha ya Kichina wakiimba nyimbo kwa
lugha ya kichina wakati wa uzinduzi wa tamasha la urithi wa utamaduni wa China
mapema jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa kituo cha Utamaduni cha Ningxia Nchini China Bi. Hui King
(kulia) akimkabidhi Balozi wa China Dkt. Lu Youqing bango lenye nembo ya Taifa
la China na Tanzania wakati wa uzinduzi wa tamasha la urithi wa utamaduni wa
China mapema Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa kituo cha Utamaduni cha Ningxia Nchini China Bi. Hui King
(kushoto) akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni toka Wizara ya
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Lily Beleko bango lenye Nembo ya
Taifa la China na Tanzania wakati wa uzinduzi wa tamasha la urithi wa utamaduni
wa China mapema Jijini Dar es Salaam.
Balozi wa China Dkt. Lu Youqing (katikati) akikata utepe pamoja na Kaimu
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni toka wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Bi. Lily Beleko na Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje ya
Wizara ya Utamaduni wa China Bw. Zheng Hao kuashiria uzinduzi rasmi wa tamasha
la urithi wa utamaduni wa China mapema Jijini Dar es Salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment