Daktari bingwa wa macho kutoka
china Qin Qin akimfanyia uchunguzi wa macho mtoto Nassor Idrisa katika
zoezi la kutoa huduma vijiji lililofanyika skuli ya sekondari Chumbuni.
Wananchi wa Shehia ya Banko
wakisubiri huduma za matibabu kutoka kwa timu ya madaktari bingwa kutoka
China waliofika katika skuli ya sekondari Chumbuni kutoa hudua hizo.
Mzee Abdalla Bakari akielezea
matatizo ya afya yake kwa Dkt. He Qibin kutoka China wakati timu ya
madkatari hao ilipokua ikitoa huduma za afya katika Shehiya ya Banko
skuli ya sekondari Chumbuni (kulia) Dkt. Zulekha Bakari akisaidia
tafsiri.
Dkt. Zhou Ziyue kutoka China
akimpima sindikizo la damu (Pressure) Mzee. Ali Simai Makame wakati wa
zoezi la kuchunguza afya wananchi wa Shehia ya Banko katika skuli ya
sekondari Chumbuni.(Picha na Makame Mshenga).
SHARE
No comments:
Post a Comment