Mshambuliaji wa Real
Madrid, Cristiano Ronaldo ametangazwa kuwa mwanasoka bora wa Uefa
Champions League msimu wa 2016-17 na ndiye mwanasoka bora wa Ulaya.
Ronaldo amewashinda Lionel Messi na Gigi Buffon wa Juventus na kufanikiwa kubeba tuzo hiyo.
Hata hivyo ilionekana
tokea mapema, Ronaldo angebeba tuzo hiyo kutokana na mafanikio
aliyopata akiwa na Madrid kwa msimu wa 2016-17.
SHARE








No comments:
Post a Comment