Msanii wa
muziki wa bongo fleva Gigy Money amefunguka na kusema kuwa hakuna
mwanamke anapenda mwanaume bali wanawake wanapenda pesa tu hivyo amedai
yeye sasa hajali kumfurahisha mwanaume kwa umbo lake ila anachoangalia
yeye anapiga pesa.
Mbali na
hilo Gigy Money anadai kuwa ndoto zake za kuja kutoka kimapenzi na
msanii Wizkid kutoka Nigeria bado ziko pale pale na kusema siku
zikitimia atawathibitishia watu kuwa jambo hilo limetimia.
SHARE
No comments:
Post a Comment