Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (aliyesimama), akizungumza
jambo mbele ya baadhi ya wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa
wa Manyara, wakati alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya kikazi yenye
lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja
na kujua changamoto wanazo kutana nazo wakati wakitekeleza majukumu yao.
Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kulia), akifurahia jambo
na Mkuu wa mkoa wa Manyara, Joel Bendera (Kushoto) na Mkuu wa wilaya ya
Babati, Raymond Mushi, wakati alipowasili katika mkoa huo kwa ziara ya
kikazi yenye lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo
ikiwa ni pamoja na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza
majukumu yao. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, akipokea salamu ya heshima
ya kijeshi wakati alipowasili mkoani Manyara, kwa ziara ya kikazi yenye
lengo la kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja
na kujua changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao.
Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro (kushoto), akiwa
ameongozana na kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara, ACP Francis Jacob,
wakati alipowasili mkoani Manyara, kwa ziara ya kikazi yenye lengo la
kuzungumza na askari na maofisa wa Jeshi hilo ikiwa ni pamoja na kujua
changamoto wanazokutananazo wakati wakitekeleza majukumu yao. Picha na
Jeshi la Polisi.
SHARE









No comments:
Post a Comment