Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi maalum Balozi wa
China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing, wakati wa hafla ya Chakula cha
jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga jijini Dar es
Salaam,jana Agosti 25, 2017. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Naibu Katibu
Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, Naibu Spika Tulia Akson, Mabalozi
kadhaa wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Mawaziri Kadhaa, Makatibu
wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa na Makatibu wa Jumuia za
Chama. Picha zote na Bashir Nkoromo.
Balozi
wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing akimshukuru Katibu Mkuu wa CCM
Abdulrahman Kinana baada ya kupokea zawadi maluum, ambayo Kinana
alimzawadia wakati wa chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo
kumuaga.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza kabla ya kumkabidhi zawadi
maalum Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing (kulia), wakati wa
hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga
jijini Dar es Salaam, jana Agosti 25, 2017.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing (kulia) akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na Balozi wa China nchini Tanzania Dk.
Lu Youqing wakiinua glasi za vinwaji kabla ya kuzigonganisha kutakiana
heri, wakati wa hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo
kumuaga, Upanga jijini Dar es Salaam,jana Agosti 25, 2017. Kulia ni
Naibu Spika wa Bunge Tulia Akson. Picha zote na Bashir Nkoromo.
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akigonganisha glasi za viwanywaji na
Balozi wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing kumtakia heri, wakati wa
hafla ya Chakula cha jioni alichomwandalia Balozi huyo kumuaga, Upanga
jijini Dar es Salaam, jana Agosti 25, 2017. Kulia ni Naibu Spika wa
Bunge Tulia Akson. Picha zote na Bashir Nkoromo.
Balozi
wa China nchini Tanzania Dk. Lu Youqing akigonganisha glasi za vinywaji
na Spika wa Bunge Tulia Akson kutakiana her, wakati wa hafla ya
Chakula cha jioni kilichoandaliwa na katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman
Kinana kumuaga Balozi huyo, Upanga jijini Dar es Salaam, jana Agosti 25,
2017. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uratibu wa Bunge
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akigonganisha glasi za kinywaji na
Waziri Jenista Mhagama wakati wa hafla hiyo. Kushoto ni Balozi Lu na
wapili kulia ni Naibu Spika Tulia Akson.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo akigonganisha Glasi na Balozi wa Zambia hapa nchini Judith Kangoma-Kapijimpanga wakati wa hafla hiyo.
SHARE



















No comments:
Post a Comment