Kupitia
kwenye account yake ya twitter Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha
Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole ametoa majibu kwa Mbunge wa Iringa
Mjini Mchungaji Peter Msigwa akimwambia kuwa hatokuwa tena Mbunge baada
ya Awamu hii.
Hatua
hiyo ya Polepole imekuja baada ya kuambiwa na Mbunge Msigwa kuwa viatu
vya Nape havimtoshi kupitia twitter ambapo aliandika; "Kitendo cha Msukuma kumkumbuka Nape , ni ujumbe tosha Kuwa Viatu vya Nape vinampwaya POLEPOLE!"
SHARE








No comments:
Post a Comment