Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa
Singida Mashariki, Tundu Lissu amepelekwa nyumbani kwake na Polisi kwa
ajili ya kupekuliwa.
Tundu Lissu anashikiliwa na Polisi baada
ya kumkata jana alipokuwa anatoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu ambapo alipelekwa Kituoni kuhojiwa kwa makosa mawili.
Kosa la kwanza ni kumkashifu Rais, na kosa la pili ni la uchochezi dhidi ya ndege za serikali kuzuiwa Canada
SHARE









No comments:
Post a Comment