![]() |
|
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata
maelezo ya virutubishi vya watoto kutoka kwa makamu Mkurugenzi wa Shirika la
SOLEO, Grace Mghamba
|
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na watoto waliozaliwa na tatizo la vichwa vikubwa na mgongo wazi (Hydrocephalus and Spina Bifida) na wazazi wao wakati ufunguzi wa Mkutano wa Taifa wa Urutubishaji wa Chakula uliofanyika kwenye kituo cha Mikutano Cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam leo Agosti 23, 2017
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia
wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Taifa wa Urutubishaji wa Chakula uliofanyika
kwenye kituo cha Mikutano Cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam
![]() |
| Baadhi ya mabalozi na wawakilishi wa mashirika ya kimataifa wakifurahia hotuba ya Makamu wa Rais |
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Mkurugenzi wa WFP nchini Bw. Michael Danford wakati akiwasili
kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Taifa wa Urutubishaji wa Chakula uliofanyika
kwenye kituo cha Mikutano Cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es
Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata
keki iliyopikwa kwa unga wa mahindi wenye vitamini A na ngano mara baada ya
ufunguzi wa Mkutano wa Taifa wa Urutubishaji wa Chakula uliofanyika kwenye
kituo cha Mikutano Cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar Es Salaam.
![]() |
| Baadhi ya wageni waalikwa.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
|
SHARE
















No comments:
Post a Comment