Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo
amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap
Frederiks ambaye alifika Ikulu kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza
muda wake wa kazi hapa nchini.
Makamu wa Rais alimhakikishia Balozi huyo kuwa Tanzania itazidi kuimarisha uhusiano wake na nchi ya Uholanzi hasa katika sekta ya kilimo, elimu na uboreshwaji wa mazingira ya uwekezaji ili kufikia lengo la Tanzania ya Viwanda.
Aidha, Mhe.Balozi aliahidi kuwa mjumbe mzuri wa Tanzania na atarejea mara kwa mara kuja kutembea kwani Tanzania ina watu wema na vivutio vingi vya utalii.

wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap
Frederiks ambaye alifika Ikulu kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza
muda wake wa kazi hapa nchini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akizungumza jambo na Balozi wa Uholanzi nchini Mhe. Jaap
Frederiks ambaye alifika Ikulu kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza
muda wake wa kazi hapa nchini.
SHARE
No comments:
Post a Comment