Mmoja ya watu
wanaotarajiwa kumrithi rais Mugabe wa Zimbabwe amekimbizwa nchini Afrika
Kusini kwa matibabu kulingana na chombo cha habari cha AFP.
- Bi Mugabe amtaka mumewe kumtangaza ''mrithi'' wake
- Aliyetabiri kifo cha Mugabe akamatwa Zimbabwe
- Kwa nini maradhi ya marais huwa siri?
''Alikuwa akitapika na kuharisha na kukosa maji mwilini. Amefanya vipimo vingi''.
Rais Mugabe mwenye umri wa miaka 93 amesema kuwa atatetea wadhfa wake wakati wa uchaguzi wa mwaka ujao.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment