Idadi ya watu
waliopoteza maisha kutokana na maporomoko ya udongo na mafuriko katika
mji mkuu wa Sierra Leone, Freetown, imeongezeka na kufikia zaidi ya watu
mia tatu.
Jitihada za kuokoa zilisitishwa kwa muda baada ya giza kuingia.
- Mvua kubwa yasababisha uharibifu Rwanda
- Peru yatoa tahadhari kufuatia mvua kubwa
- Mafuriko yasababisha shule zote kufungwa Zanzibar
Shirika la Msabala mwekundu limesema inakadiriwa zaidi ya watu laki tatu wamepoteza makazi yao.
Eneo lililoathirika zaidi wilaya ya Regent iliyopo pembezoni mwa mji wa Freetown baada ya mlima uliojaa maji kuporomoka.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment