Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Eng. Deusdedit Kakoko,
akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng.
Edwin Ngonyani, alipofanya ziara ya kikazi bandarini hapo, jijini Dar es
Salaam.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani
(kushoto), akitoa maelekezo kwa Mkururgenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari
Tanzania (TPA), Eng. Deusdedit Kakoko wakati akizungumza na Menejimenti
ya Mamlaka hiyo wakati alipofanya ziara ya kikazi, jijini Dar es
Salaam.
Kaimu
Mkurugenzi wa Huduma za Meli kutoka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),
Kapteni Abdullah Mwingano, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani (wa tatu kushoto), kuhusu
utaratibu wa upakuaji wa mafuta bandarini wakati alipofanya ziara ya
kikazi katika Bandari ya Dar es Salaam.
Meneja
Msaidizi wa Mifumo ya ukaguzi wa mizigo (Scanner), Bandari ya Dar es
Salaam Bw. Jackson Paul, akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, namna mifumo hiyo
inavyofanya kazi wakati wa ziara yake ya kikazi bandarini hapo. Katikati
ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Eng. Deusdedit
Kakoko
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani
(katikati), akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani),
wakati wa ziara ya kikazi katika Bandari ya Dar es Salaam, kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Eng. Deusdedit
Kakoko. Kulia ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam Bw. Freddy
Liundi.
Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
SHARE
No comments:
Post a Comment