Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Kassim Majaliwa akimpa pesa mwakilishi wa kwaya ya Viumbe wote
kiasi cha shilingi laki moja na nusu kama sehemu ya mchango jana,
Ulyankulu, Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora leo, mara baada ya kumaliza
kuwahutubia wananchi hao kwenye moja ya ziara yake Mkoani humo. ( Picha
na Raymond Urio )
Mbunge
wa Manonga na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tabora, Seif Khamis Gulamali (
katikati ) akimpa zawadi ya asali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Kassim Majaliwa mara baada ya kumaliza kuwahutubia wananchi
wa Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora jana katika Viwanja vya Kolimba. (
Picha na Raymond Urio )
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kitongoji cha
Mnange leo katika Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora jana, katika moja ya
ziara zake Mkoani humo. ( Picha na Raymond Urio )
Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akimsalimia
Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Magdalena Sakaya, mara baada ya kumaliza
mkutano wa kuwahutubia wananchi kwenye Viwanja vya Kolimba Wilaya ya
Kaliua Mkoa wa Tabora jana, katika moja ya ziara zake mkoani humo. (
Picha na Raymond Urio )
SHARE
No comments:
Post a Comment