TRA

TRA

Friday, September 1, 2017

CAF YAPIGA STOP KOZI ZOTE ZA SOKA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limesitisha kozi zote zinazosimamiwa na shirikisho hilo ambazo zilikuwa zinaendelea ili kufanya mapitio kwa kozi zote zilizopita.
Mkurugenzi wa ufundi wa TFF,Salum Madad alisema kwamba kutokana na agizo hilo kutoka CAF,nalo shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini TFF limeamua kusimamisha kozi zote ikiwemo ya ukocha  ya leseni C iliyokuwa inaendelea kufanyika mkoani Morogoro hadi hapo watakapopata maagizo mengine.
Madad amewataka washiriki wa kozi hiyo kukubaliana na hali hiyo kwani ni maagizo ambayo yametolewa na chombo kikuu cha uendeshaji wa soka barani Afrika.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger