• About
  • Services
  • Products
  • Blog
  • Contact Us

NCHI YANGU

Menu
  • Home
  • Lifestyle
    • Sub Menu 1
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Sports
    • Sub Menu 1
      • Sub Menu 1
      • Sub Menu 2
      • Sub Menu 3
    • Sub Menu 2
    • Sub Menu 3
  • Post
  • Fitness
  • Music
  • Travel
  • Politics
  • Beauty

TRA

TRA

Friday, September 8, 2017

Home > > Waandamanaji wakesha kupinga utawala wa Rais Gnassingbe

Waandamanaji wakesha kupinga utawala wa Rais Gnassingbe

at 7:23 AM
Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Vikosi vya usalama nchini Togo vimerusha gesi ya kutoa machozi mapema leo, kutawanya mamia ya waandamaji wanaoipinga seikali walioshinda usiku kucha mjini Lome.
 Waandamanaji walikesha mitaani kupinga utawala wa Gnassingbe Togo
Vyombo vya habari vimekuwa vikichapisha picha za waandamanaji wakilala barabarani usiku.
  • Upinzani wasema maandamano yalisababisha vifo Togo
  • Mfalme wa Morocco, asusia mkutano wa ECOWAS
Polisi walichukua hatua ya maandamano ya nchi nzima ya saa 48 ya kutaka kumalizika kwa utawala wa miaka 50 wa familia ya Gnassingbe
Hakuna taaraifa yoyote ya majeruhi au maafa.
Maandamano yaliendelea licha ya Rais Faure Gnassingbe, kuahidi kurejesha sheria ya kutaka rais ahudumu kwa mihula miwili pekee nchini humo.
  • Walinzi wa Netanyahu na wa rais wa Togo wazozana Liberia
Mamlaka zimeamrisha kuzimwa kwa mitandao kwa muda wa siku mbili kama njia ya kukabiliana na maandamano hayo.

CHANZO: BBC
Unknown

Author: Unknown

SHARE
  • Share
  • Tweet
  • Share
  • Pin
  • Share
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post
Fourni par Blogger CodeEnvoyer par emailBlogThis !Partager sur TwitterPartager sur FacebookPartager sur LinkedInÉpingler sur PinterestPartager sur StumbleUponVoter pour cet article sur HelloCoton

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Tupate kupitia Facebook

Popular Posts

  • MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNE 13,2017
  • MWANASIASA ANYONYESHA MTOTO BUNGENI...SHUHUDIA HAPA
      Seneta wa Australia Larissa Waters amekuwa mwanasiasa wa kwanza kunyonyesha katika bunge la taifa hilo. Seneta wa A...
  • Polisi, Jaji Mkuu watoa ONYO mgomo wa mawaikili nchini
    Kaimu  Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma na Jeshi la Polisi nchini, wamelionya Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili wa...

Popular Posts

  • MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNE 13,2017
    MAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNE 13,2017
  • MWANASIASA ANYONYESHA MTOTO BUNGENI...SHUHUDIA HAPA
      Seneta wa Australia Larissa Waters amekuwa mwanasiasa wa kwanza kunyonyesha katika bunge la taifa hilo. Seneta wa A...
  • Polisi, Jaji Mkuu watoa ONYO mgomo wa mawaikili nchini
    Polisi, Jaji Mkuu watoa ONYO mgomo wa mawaikili nchini
    Kaimu  Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma na Jeshi la Polisi nchini, wamelionya Baraza la Uongozi la Chama cha Mawakili wa...
  • Chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha India chaipongeza TMAA
    Chuo cha Ukamanda na Unadhimu cha India chaipongeza TMAA
    Kaimu Mkurugenzi wa Ukaguzi na Udhibiti wa Uzalishaji na Biashara ya Madini, Mhandisi Godfrey Kasekenya Kutoka Wakala wa Ukaguzi w...
  • TISHIO LA EBOLA: RC ZELOTE STEPHENE ATEMBELEA MWAMBAO WA ZIWA TANGANYIKA UNAOPAKANA NA DRC
    TISHIO LA EBOLA: RC ZELOTE STEPHENE ATEMBELEA MWAMBAO WA ZIWA TANGANYIKA UNAOPAKANA NA DRC
    NA K-VIS BLOG, RUKWA KATIKA kuhakikisha Mkoa wa Rukwa Upo salama kutokana na maambukizi ya ugonjwa wa Ebola yatakayoweza kujitoke...
  • WATU 7 MAARUFU WALIOZUNGUMZA KUHUSU DIAMOND NA ALI KIBA
    Kipindi hiki cha utawala wa awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais Dkt. John Magufuli, unapotaka kuzungumzia muziki wa Bongo Flava ni vi...

Pages

  • Home
  • About Us
  • Contat Us
 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger