Manila, Ufilipino : Mvulana mdogo anaonekana akiwa amesimama katika umati wa waumini katika ibada ya Eid al-Adha
Sherehe hiyo ambayo pia hufahamika kama sherehe ya kutoa kafara, ni moja kati ya sherehe kubwa za kiislam.
Ni kumbu kumbu ya kujitolea kwa utashi kwa Abraham kumtoa kafara mwanae kwa Mungu na wakati wa sherehe hii waislam hutoa kafara wanyama.
SHARE
No comments:
Post a Comment