Mkurugenzi wa Msama Promotions,Bwa Alex Msama akishiriki kushusha
vifurushi vya mchele,ambavyo baadae alivitoa kwa vituo vya watoto
waishia katika mazingira Magumu,makabidhiano ya msaada huo yalifanyika
mwishoni mwa wiki kwenye ofisi zake Kinondoni jijini Dar.
No comments:
Post a Comment