Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua baadhi ya vitanda na vifaa
mbalimbali vya hospitali vyenye thamani ya sh. bilioni 10 vilivyotolewa
na kampuni za vinywaji baidi za Coca cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi
Cola- SBC katika makabidhino yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD
yaliyopo Mabibo jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kulia kwake ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Ulisubisya Mpoki. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua baadhi ya vitanda na vifaa
mbalimbali vya hospitali vyenye thamani ya sh. bilioni 10 vilivyotolewa
na kampuni za vinywaji baidi za Coca cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi
Cola-SBC katika makabidhino yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo
Mabibo jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kushoto ni Katibu Mkuu
wa Wizara ya Afya, Dkt. Ulisubisya Mpoki. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea moja ya vifaa vya
hospitali kutoka kwa wawailishi wa makampini ya Vinywaji baridi ya Coca
Cola- Kwanza, Azam Cola na Pepsi Cola-SBC katika makabidhino
yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo Mabibo jijini Dar es salaam
Februari 25, 2016. Kushoto Mkurugenzi wa Pepsi, Avinash Jha,Wapili
kushoto ni Reginald Mengi ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa IPP na
Wapili kulia ni Basil Gadzios wa Coca cola Kwanza. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana baadhi ya viongozi
vya makampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola- Kwanza, Azam Cola na
Pepsi Cola-SBC katika makabidhino ya vofaa vya hospitali vyenye thamani
ya shilingi bilioni 10 yaliyofanyika kwenye maghala ya MSD yaliyopo
Mabibo jijini Dar es salaam Februari 25, 2016. Kutoka kushoto ni
Mkurugenzi wa Pepsi, Avinash Jha, Reginald Mengi ambaye pia ni
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP na Basil Gadzios wa Coca cola Kwanza. Kulia
ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Ulisubisya Mpoki. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
SHARE
No comments:
Post a Comment