Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya TRUMARK Agnes Mgonge
alipowasili katika ukumbi wa Kingsolomon Kinondoni jijini Dar es salaam
jana jioni March 05,2016 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya siku ya
Kimataifa ya Wanawake Duniani.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
katikati akiwa katika picha ya pamoja Viongozi wa Kampuni ya TRUMARK
iliyoandaa sherehe ya maadhimisho ya siku ya Ki,ataifa ya Wanawake
Duniani alipowasili katika ukumbi wa Kingsolomon Kinondoni jijini Dar es
salaam jana jioni March 05,2016 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho
hayo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akizungumza na Wajasiriamali wa Vikundi vya Vikoba kutoka katika taasisi
mbalimbali kwenye maonesho ya maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya
Wanawake Duniani yaliyondaliwa na Kampuni ya TRUMARK katika ukumbi wa
Kingsolomon Kinondoni jijini Dar es salaam jana jioni March 05,2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akiangalia Bidha katika maonesho ya Vikundi vya Wajasiriamali wa Vikoba
kutoka katika taasisi mbalimbali kwenye maadhimisho ya siku ya
Kimataifa ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Kampuni ya TRUMARK
katika ukumbi wa Kingsolomon Kinondoni jijini Dar es salaam jana jioni
March 05,2016. kulia Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii
Jinsia,Wazee na Watoto Mhe. Khamis Kigwangala.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akimtunza msanii wa kikundi cha Barnaba Bibi Patrisha Hilary alipokua
akiimba nyimbo ya kusifu siku ya Wanawake Duniani kwenye maadhimisho ya
siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na Kampuni ya
TRUMARK katika ukumbi wa Kingsolomon Kinondoni jijini Dar es salaam jana
jioni March 05,2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akihutubia kwenye maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani
iliyoandaliwa na Kampuni ya TRUMARK katika ukumbi wa Kingsolomon
Kinondoni jijini Dar es salaam jana March 05,2016.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na kuzungumza na Wajasiriamali wa Vikundi vya Vikoba kutoka
katika taasisi mbalimbali baada ya kuwahutubia kwenye maonesho ya
maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani yaliyoandaliwa na
Kampuni ya TRUMARK katika ukumbi wa Kingsolomon Kinondoni jijini Dar es
salaam jana jioni March 05,2016 (Picha na OMR)
SHARE
No comments:
Post a Comment