Mbunge
wa Jimbo la Bumbuli January Makamba akikabidhi msaada wa Mabati 64 kwa
ajli ya Ujenzi wa Maabara katika Shule ya Sekondari ya Bazo iliyopo kata
ya Vuga Wilayani Lushoto mkoa wa Tanga.
Mbunge
wa Jimbo la Bumbuli January Makamba akizungumza na Wananchi wa Kata
Mponde katika Mkutano hadhara, ambapo Mbunge huyo ameeleza Mikakati
mbalimbali ya kuwasaidia wananchi wa Kata hiyo ambao wengi wao
hujishughulisha na masuala ya Kilimo.
Gari
ikiwa imebeba Rola 70 za Mabomba ya kusafirishia Maji, ambayo imetolewa
na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba kwa wananchi wa Kata ua
Usambara ili kupunguza Kero ya muda mrefu ya wananchi hao katika Suala
la Upatikanaji wa maji safi na salama.( Picha na Imani Nsamila ).
SHARE
No comments:
Post a Comment